Nahitaji chumba cha kupanga kiwe katika hali nzuri, na salama maeneo ya ubungo. maji yawepo ndani na kiwe karibu na barabara. Kikiwa self itakuwa vizuri zaidi bajet yangu ni elfu50
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.