Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kuna mtu anatafuta kiwanja/sehemu ya kujenga fremu. Sehemu iwe kando ya barabara kubwa. Mkoa wa Dar es salaam anapendelea ukanda wa mbezi, tegeta, boko, bunju, madale, goba, ilala,kimara, mbezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wapenzi salaam, mimi ni mjasiliamali ninae jihusisha na utengenezaji wa sabuni ambazo zimekuwa maarufu kwa jina la sabuni za magadi.... ambazo kiuhalisia ni sabuni za mawese pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Naomba kuuliza, hivi nawezaje kupata blower original ya kutengenezea simu yenye gun yake, pia kwa anayejua aina mbali mbali za blower na bei zake naomba anijuze. Nipo Moshi Kilimanjaro. Asante.
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Tunapenda kuwarifu umma kuwa rangi za magari za sikkens kutoka sassenheim,akzonobel the netherlands,mzigo mpya umewasili ambao ni , rangi ndege, primer za ndege ,plasitic primer za magari yote...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Nauza kiwanja kipo kigamboni eneo la Mbutu. 500sqm, surveyed area.Kina hati.Kipo 3.5km kutoka main road.Bei 9M. Ni pm kama uko interested.
2 Reactions
1 Replies
545 Views
Body rosa bus inauzwa ipo kwenye hali nzuri sana bei mil. 15 mazungumzo yapo.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Poleni na pilika wanajukwaa. Nawasalimu kwa lugha zote. Natarajia kuoa next month. Naomba kujulishwa maduka ya nguo za harusi za kiislam. Naprefer zaidi mitindo ya kihindi. Wasaalam
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Poleni na pilika za kila siku wanajukwaa, nawasalimu ktk salamu zote.. Natarajia kuoa next month. Naomba kujulishwa maduka ya nguo za harusi za kiislam hapa Dar ikiwa pamoja na bei zake. Naprefer...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Speed 2.5 Space 500gb Wireless keyboard Inch 21.5 Hd Front camera Ram 4gb
0 Reactions
7 Replies
973 Views
Natafuta room tazara dar iwe katika hali nzur na iwe ndan ya get,gharama isizid 70000
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Natafuta mahali hapa Dsm wanapouza makoti ya suti ya kisasa ya mtumba nataka nijitupie koti kazaa nibadirishe muonekano. Mtu anayejua maeneo hapa Dsm naweza pata mzigo huo alielekeze...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
+255 657 685 268 WhatsApp! Fahamu MAKISIO na MCHANGANUO wa Kiasi cha GHARAMA Kinachohitajika KUKAMILISHA UJENZI wa Nyumba Yako Sasa kwa Bei Nafuu! ---Pata MAKISIO ya MKOPO BENKI, MCHANGANUO wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
+255 657 685 268 WhatsApp! Fahamu MAKISIO na MCHANGANUO wa Kiasi cha GHARAMA Kinachohitajika KUKAMILISHA UJENZI wa Nyumba Yako Sasa kwa Bei Nafuu! ---Pata MAKISIO ya MKOPO BENKI, MCHANGANUO wa...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
+255 657 685 268 WhatsApp! Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha! 1 chumba master 2 vyumba vya kawaida Sebure, Dining, jiko na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
+255 657 685 268 WhatsApp! Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha! 1 chumba master 2 vyumba vya kawaida Sebure, Dining, jiko na...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Wanajanvi, Habari zenu, Baada ya mapumziko ya sikukuu ya Pasaka kwisha sasa tujikite kwenye kazi Kichwa cha habari chahusika, Nina eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 3500 lipo kimara mwisho njia...
0 Reactions
6 Replies
991 Views
Nyumba ya kisasa yenye vyumba vitatu self contained na wash room ya famila /wageni jiko, library, sitting and dinning rooms zenye nafasi. Iko ndani ya geti na nafasi ya kupaki Magari kadhaa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za siku Natafakari kuanzisha biashara baada ya kujiassess vya kutosha nikapewa wazo la kununua jiko la gasi la Nikai. kama unajua na kulifahamu lipoje. Je moto wa gasi la Nikai upoje...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Inch 21.5 Speed 2.5 Ram 4gb Hard dsk 500gb 800k
0 Reactions
6 Replies
747 Views
Back
Top Bottom