Wadau kuna chumba kimoja cha biashara kinapangishwa arusha maeneo ya sanawari ya juu ni pembeni ya barabara. ni bei ndogo sana shilingi 40,000/= na unaliipa kodi ya miezi mitatu kwa kuanzia. kwa...
Jitaidi hizi simu kwa bei nafuu zaidi na yenye ubora
Iphone 6 850,000
Iphone 7 -1.8milion
Iphone 6 plus 1milion
Zimu zote ni mpyaa
Nipigie ama waweza kunitumia ujumbe kwa whatspp najibu message...
Habari,kwangu kuna madirisha ya kizamani hivyo nayabadilisha taratibu,kuna fundi alinibadilishia mawili lakini hivi sasa hapatikani...hiyo nahitaji fundi wa kunisaidia nia yangu yasitofautiane...
Nahitaji majengo ya kukodi kwa ajili ya kufungua chuo ngazi ya certificate hasa mikoa ya Ruvuma, Njombe na Iringa. Kama kuna MTU au dalali anafahamu please tuwasiliane 0754004189
Mei 01 2017 Sonda ya Dilu watafanya uzinguzi wa video yao katika ukumbi wa multipurposes hall ( school of law Tanzania ) karibu na kituo cha daladala mawasiliano...
Habari wana JF
Nahitaji kitanda used 5*6 kiwe ktk hali nzuri ya ubora na usafi.
Bei ataitaja muuzaji nami nitaangalia kama nitaiweza (bei isiwe kubwa kutokana na hali halisi ya mfuko wangu kuwa...
Imani yangu ni kwamba ipo siku Oriflame itabadilia maisha yangu kabisa na kuwa katika sehemu nzuri kimaisha..
Lakini sitokuwa mwema kama nami sitokushirikisha katika mafanikio haya na katika...
Kwako ambaye bado haujajua utumie perfume ipi na ya umpendae..
Karibu twaweza ongea biashara pia..
Ni nzuri sana na manukato yake yanavutia sana
0672416294
Bei yetu ni nafuu sana,
Usafi wa majumbani na ufuaji wa nguo na mavazi tofauti
_____________________________________
Ofisi Yetu Ipo tungi Mkabala Na Msikiti Pia Tunaweza Kukufata Ulipo...
[emoji95] Hivi kwanini ubaki ukinungunika juu ya ajira na Oriflame ipo kukupa fursa ya kujiajiri na kufanya biashara pamoja nayo?
Usihofu kuhusu elimu yako kikubwa ni umri ambao ni miaka 18 na...
IVORY TOWER ltd. inauza apartment iko mjini kabisa , ni mwendo wa kutembe kwenda kariakoo, karibu na supermarkets, kuna chekechea mbili karibu na jengo za lugha ya kiingereza , pia ni karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.