Enzo Docus
New Member
- Apr 22, 2017
- 1
- 0
Mzumbe Remix sasa wanapatikana jijini Mwanza.
Wale walimu wabobezi wa kufundisha na Kuelekeza wanapatikana jijini Mwanza sasa, Mlete mwanao,mwambie rafiki yako na jirani yako.
Tunafundisha masomo ya Sayansi na Biashara kwa O Level and A level.
Tunatoa pia huduma ya Home Tutors, Tunakuletea walimu nyumbani kwako kwa muda wako pia.
Masomo ni yafuatayo:
ECONOMICS,GEOGRAPHY,MATHEMATICS,PHYSICS,CHEMISTRY, BIOLOGY,HISTORY na LANGUAGE.
Pia tunatoa mafunzo binafsi ya lugha ya Kiingereza na Computer kwa muda na wakati wako.
Wahi sasa tumeanza kuandikisha.
Tunapatikana Kirumba ,Mwanza.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi PM.
KARIBUNI.