kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 374
Kuna mtu anatafuta kiwanja/sehemu ya kujenga fremu.
Sehemu iwe kando ya barabara kubwa.
Mkoa wa Dar es salaam anapendelea ukanda wa mbezi, tegeta, boko, bunju, madale, goba, ilala,kimara, mbezi etc. Ila kamq sehemu, ni nzr anaweza nunua popote Dar.
Sehemu yenye watu wengi au ina uelekeo wa kuwa na watu wengi siku za usoni ni nzuri zaidi.
Eneo liwe TAMBARARE na angalau ukubwa wakujenga frem kama nne na kuendea zenye ukubwa takribani 20sqm kila moja.
Bajeti kwenye 15-30m ila hata kama ni ppungufu au juu ya hapo si mbaya.
Thnx