SABUNI ZA MAGADI (MAWESE) ZINAUZWA

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,577
11,204
Ndugu wapenzi salaam, mimi ni mjasiliamali ninae jihusisha na utengenezaji wa sabuni ambazo zimekuwa maarufu kwa jina la sabuni za magadi.... ambazo kiuhalisia ni sabuni za mawese pamoja na marighafi iitwayo mbosa kwa kitaalamu . sabuni hii ni yafaa kwa matumizi yote yenye sifa ya povu jingi na kutakatisha kwa haraka uishaji wake ukiwa si wa haraka. kwa wakazi hasa wa mwambao wa bahari ya hindi dar es salaam na mikoa jirani sabuni hii inaondoa magonjwa mbali mbali ya ngozi hasa kwa watoto na watu wote. ni hata pia kwa watumiaji wa mikoa mingine wanao sumbuliwa na matatizo ya ngozi. Nitakufikishia mzigo popote ulipo, napatikana mbeya Tanzania. kwa Bei ya rejareja mche mdogo 1200 mche mkubwa 2500, kwa jumla tutaelewana bei. Sabuni hizi pia zinafahamika zaidi kama sabuni mageleza kwa mikoa yetu ya huku. karibu ufurahie bidhaa ya asili kutoka kyela. for more call 0759486281 or PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom