Habari wakuu.
Nina hitaji ukwaju uliokauka kiasi cha tani 22. Uwe unaweza patikana katika ubora na bei nafuu.
Simu:0713-039875
NB:tumia simu sipo JF muda mwingi.
Habarini wanajf
Nauza laptop aina ya Toshiba rangi nyeusi yenye specification zifuatazo.
Hard disk- 500GB
Ram- 4GB
Processor-2.5
price 320000 tsh
Haina tatzo lolote ila nimeamua kuuza tu
Aina: HP Compaq 6910p
RAM :1GB
Processor: Intel core (TM)2 Duo T7500 2.20GHz
HDD: 250GB
iko vizuri haina tatizo lolote nauza kutokana na matatzo tu ya kifedha
BEI :180,000 Tsh
nipo Dar
Kama title na picha zinavyojieleza, nakodisha kwa short au long term truck yangu kwa shughuli zozote zile hapa Dar na Tanzania kwa ujumla. Truck lipo ktk hali nzuri sana!
Mfano- Katika removal...
Compute name Hp desktop 2MIHATE
RAM 4GB
Internal memory 500GB
Processor Intel Celeron N3060 @ 1.60 Ghz
Condition:Almost brand new bought just October last year
Charge:4:30 hours
Still under...
Wakuu natafuta nyumba ya chumba kimoja na sebule choo bafu na jiko vyote inayojitegemea kwa kila kitu. Na si nyumba yenye wapangaji kibao nyumba moja.
Maeneo ninayohitaji ni:
1. Tabata
2. Mwenge...
Nauza mtungi wangu wa gesi kilo 30 aina ya mihan( Mihan gas 29.5kg) pia nina jiko ya sahani mbili halijatumika sana(Nikai gas cooker) vyote 160,000. Ukitaka kimojawapo ni sawa pia, nipo dar
Kilomita zake zinasoma 150000
Ni automatic transmission,inatumia petrol
Model ya engen ni v6 20qr.
Gari ilingia nchini mwaka jana mwezi wa nane....
Bei ya kuuza mln 25 maongezi kidogo yapo...
Je wewe ni Mkulima au Mfugaji na unahitaji ushauri? tunauza vitabu mbalimbali vinavyotoa ushauri juu ya Kilimo na Mifugo kwa bei nafuu. Pia tunatoa kipunguzo kwa watakaonunua nakala kuanzia 10...
Injini nzuri ya Pikipiki aina ya Honda cc250 mpya au iliyotumika ila isiyofunguliwa hata mara moja inahitajika. Aliyonayo anitafute nitaifuata mkoa wowote. Unaweza kunipata kupitia no...
Habari zenu wakuu......
Poleni na majukumu ndugu zanguni
Nauza camera aina ya Nikon D3000
Specification
LENS 55-200mm
Memory 8Gb
Betri yake inatunza moto
Nakupa chaja yake pamoja na Beg lake...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Fahamu MAKISIO na MCHANGANUO wa Kiasi cha GHARAMA Kinachohitajika KUKAMILISHA UJENZI wa Nyumba Yako Sasa kwa Bei Nafuu!
---Pata MAKISIO ya MKOPO BENKI, MCHANGANUO wa...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Waweza pata Makisio na Mchanganuo wa gharama, na ushauri wa mkopo wa kibenki wa ujenzi wako na namna ya kujenga kwa Unafuu Zaidi wa Gharama,
Ili
Uweze kupata mwanga na...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
Nimekutana na wanunuzi toka Rwanda wanahitaji mchele toka Pakistán mchele wenyewe uwe grade 2...ni ule uliyoandikwa 15% broken rice...
Package ya kila mfuko uwe 20 kg
Kwa wiki unahitajika hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.