Wadau nimetingwa sana . Nataka niuze simu (ni yangu mwenyewe) sumsung galaxy grand prime+ ni mpya bado ina miezi miwili tangu itoke dukani. Shida yangu nipate 250,000 tu.
Samahanini , ni Samsung...
Inapatikana kilomita 5 kusini mwa makao makuu ya wilaya ya babati.Ni nyumba yenye vyumba 6 na nyumba ya kisasa. Izungukwa na eneo la hekari moja lenye bustani nzuri ya miti. Kwa maelezo zaidi piga...
Ramani yangu ni m14 urefu na 13 upana. Nataka nijenge gorofa moja. Chini na juu kunafanana. Mpaka nikiezeka nitatumia sh ngapi? Fundi kasema isipungue 60mil. Je ni kweli? Kwa mwenye uzoefu tafadhali
SNL SOLAR inakupatia Solar ya kukuwashia taa tano hadi nane pamoja na kuchaji cm pia unaweza kutumia Radio ndogo.
Tuna Solar ndogo na Kubwa kwa gharama nafuu zaidi na Technolojia yetu ni ya...
Habari za uzima wadau, Mimi ni kijana mhangaikaji tu, shughuli za hapa na pale sina kaz rasmi, nahitaji niingie katka sekta ya uuzaji na usambazaji wa mayai ya kienyeji ila kinachoniaumbua ni...
Kiwanja chenye ukubwa wa hatua 25 marefu,na hatua 20 mapana kinauzwa kwa Tsh.500,000/= (laki tano) tu.
kipo mkoa wa morogoro wilaya ya kilosa kata ya magole mji mdogo wa dumira barabara...
Wapendwa,
Nimekwama mahala kwa mwenye kuelewa, nina gari yangu natumia kama kukodisha iwe ni mtu binafsi, office kwa safari yoyote ile ila nilitaka nijiunge hawa Uber kutangaza biashara yangu...
SNL SOLAR inakupatia Solar ya kukuwashia taa tano hadi nane pamoja na kuchaji cm pia unaweza kutumia Radio ndogo.
Tuna Solar ndogo na Kubwa kwa gharama nafuu zaidi na Technolojia yetu ni ya...
Orliflame ni kampun ya kisweden iliazishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50.
Inajihusisha na bidhaa za asilia kuazia kichwan hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na...
Fanya booking na ukatiwe tiketi yako popote unapotaka kwenda javis tunatoa huduma za tiketi za ndege tupo ushirika lumumba dsm wasiliana nasi kwa simu no 0769061198 karibuni sana
Javisgo..
Jipatie vitafunwa vizuri vya Amic
Mkate mtamu na laini wa kg 1 kwa elfu 5
Maandazi ya maziwa au nazi kg 1 kwa elfu 10 na 1/2kg kwa elfu 5
Vitumbua vitamu 25 kwa elfu 8
Plain cake tamu kwa sh elfu...
Sifanyi matangazo ila kama ww ni mtz wa kawaida bas tafuta mafuta aya kisha uta niambia ni best maana mm sioni haja ya kua na mafuta zaidi ya kumi uso mmoja yanaitwa FAMILY CARE
We ar anoymous...
Oriflame ni kampuni ya kisweden iliazishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50.
Inajihusisha na bidhaa za asilia kuazia kichwani hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na...