Natafuta garden nzuri na bei nafuu kwa ajili ya harusi Dar

Kama utataka kumbi wa kisasa zipo, Mwika social hall upo Sinza, Best chiise Tabata,
 
Huu uzi utanisaidia, Mimi natarajia Kuoa Mwisho wa mwezi wa kumi, Niko Arusha ila natarajia kufanya harusi yangu Dar maana ndiko wazee na ndugu wengi walipo huko
 
Njoo hapa Temboni Garden Mkuu iko ppa sana.
Wapishi makini na wazoefu wapo.
Bei inategemea na idadi ya watu.

Okkkeyyy,
Mimi na Miss Chagga, watu 50.

Taja bei aiseee na temboni garden iko mtaa upi/ hapo Dar plz niko serious kabisa about this issues, tukio mwezi wa saba
 
Angalia sehemu iwe comfortable kwa waalikwa,usiende sehemu ina mabonde na miinuko kibao waalikwa watakereka.

Angalia na hali ya hewa kama vile mvua,upepo mkali.

Mazingira ya tukio yawe salama. Angalia pasiwe na vumbi Kali,usalama wa watu wako uliowaalika.

Pia angalia sehemu itatosha kwa watu ulio waalika? Sio wengine wanafika hakuna sehemu ya kuweka kitu,pamejaa.

Nitafungua Uzi wa kuelezea vitu baadhi ninavyo vifahamu katika events (event planing) na kwa msaada wa wana jf wenzetu tutafahamu mengi
 
Back
Top Bottom