Gari aina ya Hino Inauzwa iko katika hali nzuri na inafanya kazi na haidaiwi kitu chochote. Kwa anayehitaji napatikana katika namba 0744089514 /0675459211.![]()
Inauzwa Tsh 20,000,000 /=![]()
![]()
Sema kiongozi usiogope bei ndugu.Nzur sema ndio hivyo
seat ngapi mkuuSema kiongozi usiogope bei ndugu.
Gari aina ya Hino Inauzwa iko katika hali nzuri na inafanya kazi na haidaiwi kitu chochote. Kwa anayehitaji napatikana katika namba 0744089514 /0675459211.![]()
Inauzwa Tsh 20,000,000 /=![]()
![]()
Seat 26 ndugu yangu. Tangia imenunuliwa seat zake hazijang'olewa na kuwekwa zingine kama kawaida ya daladala.seat ngapi mkuu