greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Gari aina ya Rav4, CC 1998, Usajili T 588 CHQ lina hali nzuri kilometa 82,435 Location Kigoma. Open roof na engine haijafunguliwa. Bei 9,500,000 maongezi yanaruhusiwa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi call/ whatsapp 0687634408