Mizinga ya nyuki naweza pata wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mizinga ya nyuki naweza pata wapi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by FIDIVIN, Jul 28, 2012.

 1. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Natafuta wapi naweza nunua miziga ya kufugia nyuki, pia naitaji na mafunzo kidogo jinsi ya kuwafuga, kwa sasa niko dar,
  kama unayo tuwasiliane tafadhali
  Thanks
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Mzinga aina ya Top Bar kwa hapo Dar ni Tsh 60,000/ na mtu wa kukupa mafunzo yupo, kama uko tayari sema nikuunganishe naye, huyu ni bingwa wa masuala haya.
   
 3. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, nakutumia PM yenye simu yangu then tuwasiliane, ila elfu 60 naomba unipozee mkuu wangu
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,911
  Likes Received: 1,952
  Trophy Points: 280
  Ongea na malila ni mtaalamu sana wa mambo ya kilimo and the like!
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  nimeshakujibu kupitia pm yako,
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Asante,

  Nimeshamuunganisha na mhusika mkuu,kama ngoma ashindwe mwenyewe.
   
 7. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,045
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Uwe na nyuki wake au mzinga tu :happy:
   
 8. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,428
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tafuta office za SIDO,NI miongon mwa majukumu yao!
   
 9. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 707
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Ukionja asali utachonga mzinga.

  Chonga mzinga wako mwenyewe.
   
 10. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu mliochangia nawashukuru sana,
  Mkuu Malila tayari ameshanipa mtu mahususi anayeshughulika na mambo haya
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu jaribu kutembelea na Singida na Tabora kule kuna 'maspeshelist" wa nyuki.
   
 12. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,960
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni PM No yako nikuunganishe na mtaalamu wa nyuki na mizinga hiyo pamoja na nyuki wadogo
   
 13. pdpr4662

  pdpr4662 Member

  #13
  Feb 15, 2015
  Joined: Feb 14, 2015
  Messages: 46
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
Loading...