Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta chumba cha kupanga ambacho ni master maeneo ya mbezi tangibovu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Natafuta kompyuta ya mpakato (laptop) yenye specifications zifuatazo au zinazokaribiana na hizo; 1. HDD: 500GB+ 2. Processor: Core i5 au i7. 3. Operating System: Windows7 au 10 yenye...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Brand : Xiaomi Model: Redmi 3x Mzigo ni 420k ✓✓used - about 4 weeks now but still iko vzuri sanaa { Gold Color} ✓2Gb RAM × 32Gb ROM ✓13Megapixels rear camera ✓5 Megapixels front camera ✓4G...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba...
1 Reactions
0 Replies
854 Views
Habari,wanaJF Nauza MATANK YA KUHIFADHIA MAJI YA SIMTANK...Yapo mawili moja ni la "LITA 10000"..na lengine ni la "LITA 7000"...Yote yapo vizuri hakuna Hata Moja lenye kiraka na yamezungushiwa...
1 Reactions
1 Replies
9K Views
Habari wana JF natumaini wote ni wazima, Nauza kuku aina ya Broiler na wapo tayari kabisaa kwa sh 5500 jumla wapo 200. Nipo makongo juu karibu na CCM. 0788838821 Karibuni sana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi nimeamua kufuga kuku lakini changamoto ni soko Niko dar esalaam kwa mwenyej pleas anipe mwanga
0 Reactions
6 Replies
7K Views
[emoji654] Tabata kisukulu sqm 1500 kina hati ya serikalini bei 16m fixed price [emoji654] Keko madawa kina sqm 900 kina leseni ya makazi. Ni sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa vyumba vya kupanga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii ninabiashara yangu ya asali mbichi kutoka tabora kwa anae hitaji Huduma inapitikana muda wote ukihitaji..mauzo nikuanzia litre 1 nahata kiujumla kama ukihitajii.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Harrier (MCU30W) Mileage : 136,440km Engine size: 3,000cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic Drive : 4WD (FOUR WHEELS...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Karibu tukupatie huduma zootee za Solar pamoja na Backup za umeme. Pia tunauza vifaa vyoote vya solar pamoja na Bidhaa zote za ndani kama TV, FRIDGE, HOME THEATRE, RICE COOKER, PLATES ZA MAJIKO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina laki nne na nusu je!! Naweza pata pc yenye vigezo vifuatavyo au nikale mandazi pesa yangu. Aina: lenovo Hdd: 500 Ram : 2GB
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nahitaji laptop mpya au iliyotumika kidogo sana.. Vigezo vya laptop ni hivi 1. Iwe H.P au Dell 2. Iwe na RAM at least 4GB. 3. Processor iwe i5 au i3.. but i5 itapewa kipaumbele zaidi.. 4. HDD iwe...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Samsung s6 Edge Plus Tsh 900000/= Samsung s6 Edge Tsh 800000/= Iphone 6plus 64gb Tsh 1050000/= Kwa mawasiliano zaidi simu no 0652971495
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Toyota Ist Well maintained 2006 model Mileage 52000km No accident/repaint Location - Dar es salaam Tsh 10.4milion Call/WhatsApp 0714 521128
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu ninahitaji kujuzwa kwa undani ni jinsi gani naweza kupata vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumbani Pia napenda kufahamu ni namna gani vinafanya kazi (sina uelewa juu ya nishati hii). Na pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Starlet Glanza Mileage : 143,910km Engine size: 1,300cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual Drive : 2WD (TWO WHEELS DRIVE)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Ninataka kufungua stationery ambapo pia nitakuwa natoa huduma za IT karibu na chuo chochote hapa Dar es Salaam, naomba msaada wenu kwa yeyote anaejua ni sehemu gani na chuo...
1 Reactions
0 Replies
906 Views
Wanajamvi nataka chumba kimoja au chumba na sebule mtwara mjini kama nje ya hapa,kisizidi km 5 toka town. Namba zangu 0765505756
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom