Nissan caravan inauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
87,122
120,506
Milage zake ni 160000
Ni automatic,inatumia petrol,
Engen model yake ni v6020
Mmiliki sahv anaiuza 21mln
Gari hii ilingia nchini mwaka jana mwezi wa nane tokea japan....gari iko imepaki tu...gari haina tatizo lolote,vibali vyote viko sawa
Gari inapatikana kitunda,dar
Kwa mawasiliano piga sim

Ova

IMG-20170404-WA0025.jpg
IMG-20170404-WA0026.jpg
IMG-20170404-WA0027.jpg
IMG-20170404-WA0029.jpg


 
Nani Wa kununua nisani kwa 21ml,wakati Toyota una iagiza Japanese bado inafika kwa hiyo hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom