SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,072
Habar watu wa JF.
Napenda kuwatangazia kwamba natengeneza Crips za ndizi,mihogo na viazi,tambi za dengu (za pilipili na zisizo na pilipili), chaulo na karanga za mayai.
Bidhaa hizi nauza kwa bei ya jumla.
Kuna pakiti za mia 500, mia 400,na mia 800.
Napatikana Dar es Salaam.
Kwa anayehitaji tunaweza kufanya biashara.