Viwanja vinauzwa

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,136
4,148
Viwanja vinauzwa bei nzuri kabisa.Vinafaa kwa makazi na kuna umeme na maji karibu.Viwanja vipo
Mkoa wa kilimanjaro: Boma Ng'ombe na KIA
Mkoa wa Arusha KIKATITI,na King'ori
Mkoa wa Dar es Salaam Chanika,Pugu,Kisarawe,Mvuti,Masaki

Bei za viwanja ni kuanzia Milioni 2 za kitanzania kwa ukubwa wa kuanzia mita 15 kwa 15

Pia tunauza Vyombo vya ndani kama vile redio,Friji,Sub woofer,Vitanda,Meza Viti,na vyombo vingine vya ndani kwa bei nafuu sana.

Magari madogo na ya bairia pamoja na mizigo yanapatikana kwa bei nafuu kuanzia Milioni 2 kwa gari inayotembea.

Pia tunasafirisha mizigo mbalimbali kutoka mikoa mbalimbali pamoja na vifurushi na Nyaraka mbalimbali.

Tunapatikana mikoa yote ya Tanzania,tunaagiza mizigo kutoka China,Hongkong,Dubai,Japan na India kama vile,nguo,vipuri vya magari,magari,vifaa vya electronic,

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia blog4moneytz@gmail.com au tupigie
 
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia blog4moneytz@gmail.com au tupigie 0629948930.
hatuna kazi viwanja tutanunua vp
 
A
sawa hatuna kazi pia inawezekana huyu ndgu yetu pia anauza hizi mambo kama plan B baada ya kukosa ajira kama sisi so nahisi inatakiwa tumpe moyo sio kumkatisha tamaa....
Natamani watanzania wote wangekua kama wewe...ila ndo hvo tena.Inabidi tutumbuliwe maana ubashite umezidi
 
sawa hatuna kazi pia inawezekana huyu ndgu yetu pia anauza hizi mambo kama plan B baada ya kukosa ajira kama sisi so nahisi inatakiwa tumpe moyo sio kumkatisha tamaa....
plan b kwa wasio na kazi nahc ingekua vizuri angeliweka jukwaa la biashara au matangazo madogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom