Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza line za tigo pesa na m pesa Tigo pesa ni 250,000 na m pesa ni 150,000 Anayehitaji call 0714574219
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau nyumba inapangishwa mbezi beach mita mia kutoka barabara kuu ya bagamoyo ni chumba master na sebule ipo ndani ya fensi ni nzuri sana usalama upo bei laki mbili na nusu kwa mwezi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari Wana jamvi, nauza Sony Xperia z 1,iko katika hali nzuri kabisa Nina emergency nahitaji pesa ya haraka so nimeamua kuuza nibaki na kitochi kwa muda Ku attach picha kumenishinda 0762998333...
3 Reactions
5 Replies
918 Views
Nauza nguo za mtumba grade one Za kiofisi na casual Karibuni sana Duka liko Arusha, philips highway bar Mikoani tunatuma 0762998333 Instagram :divine_clothing_store _ Nguo za kike zote Za kiume...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Iko nzima haina tatizo, kwa atayehitaji anicheck 0762998333
0 Reactions
4 Replies
765 Views
Natafuta kioo cha nokia xl used mwenye nacho tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Ram 2gb Internal 32 gb Bei 280,000 Inakuja simu tu Water resistance
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sallam..wanajamvi nna deal motomoto mwenye uhitaji wa chumba master ipo maeneo ya kisasa Dodoma mjini ipo ndani ya fence na ina tiles ..gypsum na madirisha alluminium maji na umeme uhakika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Pata dagaa fresh waliokaangwa kutoka mwanza wa kawaida na wale wa viungo Tunapatikana mwanza mikoani tunatuma Kwa maelezo na kutoa oda 0759292980 Maandalizi ya ukaangaji
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Pata dagaa wa kukaanga wa mwanza wa kawaida na wa viungo. Tunapatikana mwanza mikoani tunatuma. Maulizo 0759292980 Maandalizi ya kukaanga
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, anatafutwa agent wa ununuzi & usambazaji wa unga wa sembe hapa Dar, kwa yeyote alie tayari ani PM, agent atakua anatoa order yake analetewa mpaka store kwake. Unga wetu ni wa ubora wa hali...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Simu ipo frsh ,haisumbui kitu
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Kama unayo nicheki 0745081372
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Tunanunua mayai ya kienyeji kwa wingi *yawe yanakiini cha njano yaani kuku wawe wanalishwa mbogmboga kwa wingi *mayai yasiyozidi siku nne toka yametagwa. call/sms/whatsap 0659767196
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Full vibali Full ac Engine mpya haina tatizo Haigongi chini DVD/Bluetooth Music Luxury seats Perfect in every way Bei 6.5 million Kwa maongezi zaidi 0716398757
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Sio wengine ni GEMAB(GMB)group wanakujia na huduma majumbani mwenu KUSUKA MITINDO YOTE, kukufanyia usafi nyumbani kwako, je wewe ni muhanga wa wafanyakazi wa ndani GEMAB GROUP ndio suruhisho la...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Kama inavyosomeka nina hiyo hela iko tayari kwenye mfuko wa shati natafuta laptop aina yeyote lakini iwe angalau na sifa hizi ;battery capacity not less than 3hrs,RAM not less than 2GB processor...
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Wakuu, Habari ya kazi. Naomba kujua wapi napata soko la uhakika la pembe za ng'ombe? Aliye na contacts naomba anipatie. Natanguliza shukrani zangu za dhati Tougher
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu, Ni geto nimeishi wiki mbili, lina kitanda kipya, godoro dodoma jipya nchi 6, 5 by 6, kiti na meza na vifaa vya toilet, geto pia kama unataka uhamie lipo Songea town kabisa barabara kama...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Back
Top Bottom