Nauza Led tv star X 32 inch 350,000

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
9,116
34,662
habari wadau.

nauza 32 inch led tv aina ya stax x.. bei ni 350. bado ina hali ya upya na vifaa vyake vyote

nilinunua kwa ajili ya kuiweka glossary niliyopanga kuifungua ila nimeamua kubadilisha biashara.. vifaa vya glossary nimeanza kuuza nilivyonunua kama viti na meza pia..

kwa mahitaji nichek 0718 537 216
 
Attachments

  • IMG_20170122_211213.jpg
    IMG_20170122_211213.jpg
    125.4 KB · Views: 121
  • IMG_20170122_211303.jpg
    IMG_20170122_211303.jpg
    49.9 KB · Views: 98
Wabongo bana kitu kikishatolewa kwenye boksi na kutumika kidogo sio kipya, bali kina muonekano wa upya..
 
wewe ndio mbongo na roho yako ya kwa nini

tv unaweza ijaribu bila kuitoa kwenye box??

zile tv zinazouzwa game au maduka ya tv kariakoo zinazoangaliwa mteja aone quality nazo ni unaziitaje...

tv imenunuliwa na haijawa in use hata mteja mwenye akili akija anagundua tu hii ni used na hii ni same level ya dukani...

hata hivyo wenye uhitaji wa tv watakuja.. ambao hawana uhitaji wastaarabu watapita kimya kimya..

wale ambao hawana uhitaji timu chuki na roho za kwa nini nao watapita mmojawapo wewe..

kwenye biashara zote hizo ni kawaida..
unaita wenzako wabongo je wewe ni mmarekani au mjapan??

Jamaa hana nia mbaya. Alimaanisha kama wewe ulivyomaanisha kwamba TV ni mpya. Lakini kwa vile ushaitoa kwenye box basi wabongo watasema ni used au ina hali ya upya .
 
Ni original hyo Tv or ni rangi mpauko.
Bcz mm niniman na samsung na brand maharufu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom