Nyumba inauzwa Mbagala Mwanamtoti

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
473
418
Nauza nyumba ipo mbagala mwanamtoti .Nyumba Ina
-vyumba vitatu vya kulala
-Ina jiko na store
-inaumeme na maji
-Ina tiles kwa chino pia juu Ina gypsum
-pia Ina eneo lililobaki ambalo unaweza kujenga vyumba viwili

BEI YA NYUMBA NI TSH 40 MILIONI.
WP_20170505_10_34_48_Pro.jpg
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_WP_20161103_006.jpg
View attachment 504809 View attachment 504809
WP_20170505_10_32_19_Pro.jpg
WP_20170505_10_34_03_Pro.jpg
WP_20170505_10_32_19_Pro.jpg
kwa mawasiliano piga 0657623266 karibuni wote.
 
onyesha sehemu ya nje, hata nikija na bajaj ipate pa kunishusha
 
Cha kuongezea hapo mkuu ni hivi:-
Ukubwa wa eneo SQM ngapi
Nyumba ina hati?
Barabara ipo mpaka hapo
Haina tatizo lolote mfano kesi mahakamani, mkopo wa bank nk
 
Cha kuongezea hapo mkuu ni hivi:-
Ukubwa wa eneo SQM ngapi
Nyumba ina hati?
Barabara ipo mpaka hapo
Haina tatizo lolote mfano kesi mahakamani, mkopo wa bank nk
Kiwanja kinaukubwa wa SQM 400 yani 20 kwa 20.
Ndio kiwanja kina hati.
Ndio barabara ipo.
Ndio mkuu haina kesi yoyote .
Karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom