Bidhaa zinauzwa

Olv

Member
Jan 7, 2017
38
19
Habr wapendwa......naitwa Olly....leo npo hapa kuwaomba mumuunge mkono rafk wangu wa karb....anaitwa Tuli mwakatobe....yeye n mjacriamali wa kujitegemea.....na hapa anawaomba wapendwa kumuunga mkono katk biashara yake.....anauza asali pamoja na karanga....kw asali kuna chupa ya shilingi 12,000 na ndogo ya shilingi 7,000....kwa karanga ni sado ndogo ya lita moja....kwa shilingi 8,000....mawacliano yake n 0767 100884
 
Back
Top Bottom