Appartment zinapangishwa yombo vituka nyuma ya airport

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,993
34,210
Heshima kwenu wadau..
Kuna appartment zinapangishwa vituka, nyuma ya airport karibu na Kwa jimmy au Ikizu Motel..

Nyumba ni nzuri kwa bachelor maana ni Chumba master na sebule yake + jiko

Zipo fenced ndani ya gate na sehem salama ya kupaki gari zaidi ya 7,

Kuna umeme na Maji (drilling)

Bei ni 120,000 kwa mwezi na Kodi ni miezi 6.

Wote mnakaribishwa..

Mwenye nia anaweza akawasiliana na mwenye nyumba namba 0718 537216 kwa ajili ya maelezo zaidi
 
Attachments

  • 63e5eec8f5c383fb75ab43c5fa385ea2FS.png
    63e5eec8f5c383fb75ab43c5fa385ea2FS.png
    33.2 KB · Views: 74
  • 11fa46e4861ab77522536026f9ca5e07FS.JPG
    11fa46e4861ab77522536026f9ca5e07FS.JPG
    19.3 KB · Views: 71
  • chumba vituka.png
    chumba vituka.png
    104.8 KB · Views: 66
habari wadau nyumba bado zipo... zimebaki appartment 2....
 
Huo wizi, chumba kimoja na sebule laki na 20 na nyumba yenyewe ya kawaida sana hamna aluminium madirishani, milango sio mninga, sakafu sio tyrese ni cement tu. Duuu bora nibaki huku maana hiyo pesa nikiongeza 40 tu ni vyumba 2 na sebule full aluminium plus marumaru.
 
sawa kaka hujalazimishwa.. japo hujawaza maji hayana bili ni umeme wako tu... hujawaza parking sio ccm na hujawaza nyumba ni biashara.. kama wewe huwez wapo watakaoweza...

ungesema wizi kuanzia bei za vifaa vya ujenzi, na hata bei ya viwanja pia... hivyo vyote vimetumia hela kununuliwa...

Huo wizi, chumba kimoja na sebule laki na 20 na nyumba yenyewe ya kawaida sana hamna aluminium madirishani, milango sio mninga, sakafu sio tyrese ni cement tu. Duuu bora nibaki huku maana hiyo pesa nikiongeza 40 tu ni vyumba 2 na sebule full aluminium plus marumaru.
 
Huo wizi, chumba kimoja na sebule laki na 20 na nyumba yenyewe ya kawaida sana hamna aluminium madirishani, milango sio mninga, sakafu sio tyrese ni cement tu. Duuu bora nibaki huku maana hiyo pesa nikiongeza 40 tu ni vyumba 2 na sebule full aluminium plus marumaru.
Kaka unataka mpaka mlango wa mninga
Wewe unaishi wapi ambapo nyumba bei rahisi hivyoo
 
jamaa mninga anaujua kwa picha tu... halafu nyumba ya maji na parking bureee yeye hawazi hilo anawaza kodi tu

Kaka unataka mpaka mlango wa mninga
Wewe unaishi wapi ambapo nyumba bei rahisi hivyoo
 
Huo wizi, chumba kimoja na sebule laki na 20 na nyumba yenyewe ya kawaida sana hamna aluminium madirishani, milango sio mninga, sakafu sio tyrese ni cement tu. Duuu bora nibaki huku maana hiyo pesa nikiongeza 40 tu ni vyumba 2 na sebule full aluminium plus marumaru.
Tyrese Gibson au?Andika TILES!
 
Back
Top Bottom