Hiyo program inaitwa Point Of Sales(POS). unaweza nipigia kwanza tujue operation zako mfano kama una stock, manunuzi nk. Halafu Nitakushauri POS ya bei nafuuSalamu wanabodi
Kwa anayeuza, au anayefahamu wanaouza hizi program naomba msaada wake.
Pamoja na hiyo pia natafuta ile mashine ya kuscan bacord.
Asanteni
Namba yangu:0713-039875Hiyo program inaitwa Point Of Sales(POS). unaweza nipigia kwanza tujue operation zako mfano kama una stock, manunuzi nk. Halafu Nitakushauri POS ya bei nafuu
Mkuu tuko za siku? Watafute BMTL utapata solutions zote.Nashukuru kwa response wakuu... nitawapigia wote