Karibu ujipatie elimu ya kibiashara....

Mar 10, 2017
91
53
2806e8c6baed5b1e0e3e3d6a48dea4ab.jpg


Unaposikia watu wanakusanyika kwasababu ya kujifunza jinsi ya kuanzisha na kukuza biashara kwa kipindi cha sasa ni muhimu sana kuzingatia...

Pengine muda mrefu sana umekua ukitamani na wewe kuwa mmilikia wa biashara, au umekua ukitamani kutengeneza kipato cha ziada tofauti na mshahara ambao haukidhi mahitaji yako yote lakini umeshindwa utaanza vipi

:semina kama hii ndio mkombozi wako.

Karibu ujifunze kutoka kwa watu ambao walikua kama wewe wakaanza na leo wanashuhudia safati yao ya mafanikio.

Kama pia umekua ukitafuta ajira kwa muda mrefu,ni vema pia ukaja kujifunza na kuwaona watu ambao wameamua kujiajiri na wanafanya vizuri na inaweza kukubadilisha mtazamo wako.

** Ukiwa mbali na Dar es salam unaweza wasiliana nami nikakuelekeza kwa kutumia simu namba 0672416294 kwa ufupi kuhusu biashara hii.***

Ticket zinapatikana wahi sasa.
[HASHTAG]#teamoriflametz0672416294[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom