Electrical installations

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
843
Mimi ni fundi umeme Kwa ngazi ya cheti nimesoma veta Nina leve ll miaka 24 nimejiajili mtaa nimejenga brand name uwana walekebishia vitatizo vidogo vidogo kama kutatua fault circuit, ila natafuta kazi maana hari imekuwa ngumu sana mtaani naishi dar es salaam ila popote naweza fanya kazi nimefanya kazi tanzania zambia railway (tazara) workshop,nmb headquarters site near Serena hotel ,Julia's nyerere airport terminal three sites
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom