Stanboy JF-Expert Member Jul 4, 2013 1,114 1,305 May 17, 2017 #2 mchele naweza kusupply,hebu niweke sawa kwenye malipo inakuwaje?
MamaSamia2025 JF-Expert Member Mar 29, 2012 13,577 30,342 May 18, 2017 Thread starter #3 Stanboy said: mchele naweza kusupply,hebu niweke sawa kwenye malipo inakuwaje? Click to expand... Ukileta mali tuliyoagiza unalipwa hapohapo.
Stanboy said: mchele naweza kusupply,hebu niweke sawa kwenye malipo inakuwaje? Click to expand... Ukileta mali tuliyoagiza unalipwa hapohapo.
Refrector Senior Member Mar 13, 2014 187 118 May 18, 2017 #4 Kwamchele unahitaji mzigo kiasi gani,gunia,tani au?