ephrmfurahini
Member
- Apr 27, 2017
- 64
- 35
Habar za asubuh wakuu...kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu nimeona sio mbaya nikiwasilisha wazo hili kwenu.. Kama kunawatu wako interesting na hili basi tujiorganise then tucheze mchezo wa vifaa vya ujenzi...tunakubaliana tufahamiane vizur alafu tuanzishe huu mchezo. Nadhan utatuokoa. Kama kuna walio tayar watupie namba ili tufungue group kwa whatsap ili kufahamiana zaid. Kuepusha matapeli..
Note : kufahamiana huko ni pamoja na kufahamu makaz ya kila Mmoja wetu au kitu chochote cha kujiridhisha..I hope tutapeana mawazo zaidi ni namna gani tufahamiane
Note : kufahamiana huko ni pamoja na kufahamu makaz ya kila Mmoja wetu au kitu chochote cha kujiridhisha..I hope tutapeana mawazo zaidi ni namna gani tufahamiane