Dah!! Hili duka linakimbiza kwa sasa hapa mjini hatari... Huyu kijana ni mbunifu sijawah ona.
Juzi nimepita na kununua raba zangu pale kwake baada ya kuona matangazo ya biashara zake kwenye mitandao ya kijamii ambapo mwanzoni sikuamin kama itakuwa kweli maana bei ilikuwa cheap sana ila nilipoenda na kuuziwa bei ile ile aliyotangaza kwa social netwk nilimkubali
Very creative(kabuni kitu cha maana sana,maana sio wote tunapenda kwenda kariakoo ila bei ndo zinatupeleka sasa yeye kutuletea sinza bei zile za kariakoo katusaidia sana)
Yaan kwa style ile niliyoiona me kariakoo bye bye!!
Mtasema nampa promo ila acha nimpe maana kijana amenisaidia sana.
Huamin pitia dukan kwake hapo sinza madukani uone bei zake zilivyocheap maana me naona hata kkoo wanabei zaid yake
Na ukienda duka limejaa all the time
Sante sana kijana piga kaz Mungu atakuongezea