Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu mimi ni kijana niliehitimu chuo hivi karibuni,kutokana na issue za ajira kuwa ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe kwahio nahusika na upima ardhi wa aina yoyote kuanzia cadastral...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwa wafanya biashara ya duka karibuni vipo vibanda vya kufanyia biashara vinapangishwa, eneo la Majohe kwa Baba issa karibu na ofisi ya CCM Majohe. Vimejengwa kisasa kabisa bei Tshs 50,000/= @ mwezi.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kiatu hicho wadau. Bei ni 100,000/_ nipo Dar. Mawasiliano 0625610791/0655441943. Karibuni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba iko kivule....eneo tulivu.nyumba Ina room moja n'a master,sitting room,jiko,vyoo na bafu vya public Vipo.....nyumba ina tiles,gypsum,madirisha ya aluminium,nyumba Ina fence na geti...
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Habari wakuu! Tunatengeneza logo bora kwa gharama ya elfu30 tu kwa logo moja. Karibu sana tufanye kazi 0625796828.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Colour:Silver T814 CWZ Mileage:135,000 Year of Manufacture:2001-2002 Price:6.5 Mill No any mechanical problems,if you're interested please contact 0622-027490.. See the pictures below..
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Asalaam Alaykum Twamshukuru allah Leo tukiwa Katika Swaum Ya 5 alhamdulillah Tangazo Maalum kwa waislam woote Siku Ya Jmosi Ya mwisho Wa Week Hii Nitazindua Rasmi Muhadhara wangu Wakwanza...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
BEI NI 4 ML KINA UKUBWA WA NUSU HEKA KINA HATI YA MAUZIANO KUTOKA MAHAKAMNI KWA AJILI YA MAKAZI NA BIASHARA 0787419289 0713715772
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina shamba fukayosi bagamoyo naliuza 4.5m.eka 5.malipo kwa installment pia yanawezekana.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Simu ni Samsung J5 new edition. GB16,ram 2gb, camera Mp13, network 3G,4G. Snapdragon.Imetumika wiki mbili tu haina tatz lolote niko dar bei ni 300k bei haipungui, karb PM kwa anayehit. Angalizo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu yuko Mpanda,anataka kuanza bishara ya mifugo (ng'ombe na mbuzi) kuuza Zambia. Alisikia inalipa sana. Anaomba anayejua utaratibu na hali ya sasa ya soko ikoje,amjuze.
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Natafuta mtu wa kuweka cctv za majumbani, nje kuzunguka nyumba. Tuwasiliane.
0 Reactions
4 Replies
816 Views
Asalaam Wana Jamii Forum? Katika ulimwengu wa sasa ambao maarifa yameongezeka na computer inatumika kumsaidia Mwanadamu kazi za kila siku.Nimekuja na mfumo unaomsaidia mwalimu kupanga matokeo...
5 Reactions
6 Replies
4K Views
Make your house a home
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Habaeini waungwana,naomba kujua ni wapi vikopo vile vilivo transparent kama vile vinavowekewa glicerine mafuta ya nazi na vinginevyo ni wapi hupatikana hivo vikopo na bei yake ikoje na pia kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Nahitaji gari aina ya Land Rover Discovery 2, zile TDI ya diesel iwe 4 cylinder. Napatikana kwenye hii namba: +255 624 593 778
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello everybody, we have all kinds of used containers (20ft, 40ft, high cube, 20ft reefer or 40ft reefer) for sale in Dar es Salaam. They are all in good condition and come with a competitive...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wa ndugu mimi nauza simu yangu aina na jina twajwa hapo juu.Bei ni 650,000/= hapo hamna mazungumzo. Ni nzima kabisa haina shida yoyote. Mwenye kuhutaji anicheki kwa 0763010107
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samanani naomba nijue ni aina gani ya camera kwa ajili ya picha mgando tu inafaa zaidi, nataka nianze biashara lakini nashindwa ninunue aina gani.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom