Housemaid anahitajika

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
376
127
House girl kutoka Njombe au Iringa anahitajika kufanya Kazi za ndani Mikumi Morogoro

Kazi.
Care kwa watoto 2
Usafi
Kufua nguo za watoto.

Mshahara 40,000/=

Piga 0754004189.
 
Issue sio ametokea wapi.

Je, CV yake unayo? Kumbuka anakuja kulea watoto so thorough screening is very necessary.

What if she has mental issues? What if she steals your babies?

How can you trace her?
 
Jibu lake liko wazi. Wa Iringa ni wastaarabu, wapo makini na wanajali. CV zao zinajieleza. Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom