Vyumba vya kukodi vinapatikana Kinondoni

SeliSelina

JF-Expert Member
Jun 27, 2014
289
710
Habari wana JF,
Kuna vyumba vya kukodi, Kinondoni B, Msisiri.
Bei laki moja kwa mwezi, nyumba ndani kuna maji, umeme, na imezungushiwa na geti.
Usalama upo kabisa.
Ikiwa utahitaji nitumie private message.

Ahsanteni.
 
Wapangaji wapo huu mwaka wa kumi na nne, wengine wakitoka, huleta jamaa zao Kwa ajili ya usalama uliokuwepo, na hakuna mpangaji hata mmoja aloleta malalamiko. Nyumba yenyewe tulikuwa tunakaa wenyewe na hatujawahi kuingiliwa na Wezi, Ila Sasa tumetawanyika sote kila mtu ana makaazi yake.
Kaa hivyo Hilo halina wasiwasi
 
Back
Top Bottom