Nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017/2018

mlagilamakawao

Senior Member
Feb 22, 2017
189
120
CHUO CHA UUGUZI NA UKUNGA _ISIMILA , BOX 2567 IRINGA. REG NO.HAS/131P.
Kinawakaribisha/kinawatangazia waombaji wa kada ya afya ngazi ya cheti kuwa nafasi zipo za kutosha , kwa yeyote angependa kujiunga anakaribishwa kufika chuoni hapo .
Kufuatia utaratibu MPYA wa utumaji maombi unashauriwa kufika chuoni na nakala ya matokeo yakidato cha NNE . au wasiliana na MKUU wa chuo kwa namba 0752091584 , Au. Admission officer _ 0763500398.
NB: CHUO NI CHA HOSTELI NA KINATOA ASTASHAHADA YA UUGUZI NA UKUNGA .
KARIBUNI SANA.
 
Back
Top Bottom