kwa wafanyabiashara na wajasilia mali

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,278
7,915
Je wewe ni mfanyabiashra na mjasilia mali ni muda wako sasa wa kuwa na website kwa ajili ya kutangazia biashara yako na kuongeza wateja .
Natengeneza na kudesign website na kuhost kwa bei nafuu ya Ths 300,000/= tu

Pia natengeneza na kudesgn android applications.
Pia ninayo system kwa ajili ya management ya shule (Secondary school information management system)

Pia kama unahitaji kutengenezewa system ya aina yeyote usisite kunitafuta


website sample: www.mmcr.co.tz

Pia maongezi ya bei yapo

karibuni wote.
 
Back
Top Bottom