Nahitaji maziwa mtindi kwa jumla

Babafetty

Senior Member
Nov 11, 2013
107
107
Yap,
Mambo vp wadau,
Nahitaji maziwa mtindi meng kwa bei ya Jumla,
Npo Dar es Salaam,
Maziwa yawe yenye ubora wa hali ya juu, hayajachakachuliwa na salama,
Kwa mwenye nayo naomba tuwasiliane kupitia sms,

Napokea na maoni mapya.
 
Ungeongeza detail zaid.
Mahali ulipo hapa dar.
Kiwango unachohitaji.
Mawasiliano
 
Mkuu maziwa yanapatikana ya kutosha kabsa na napatikana mbagala ndipo mifugo yang ilipo so nipe contact zako nikutafute...4more businesses
 
Back
Top Bottom