Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Ninatamani sana kumiliki S8 plus. Nina nina 1.5 million. Je naweza pata hata used one?
Aliyenayo anitafte tufanye biashara.
Nahitaji hii simu haraka iwezekanavyo.
Pia anayetaka s6 edge kwa laki tano tu aje nimpe. Ni gold. 64gb
UPDATE. 9/5/2017
Nimeongeza dau hadi 1.8m jamani.
UPDATE. 13/5/2017
Hatimaye leo nimeipata hii simu kama nilivyotaka.
Nawashukuru wote mlionitafuta inbox na kunipa conection wapi pa kuipata hii simu.
Fundisho. Ukitaka kununua kitu fanya research kwanza hasa hivi vitu vya electronik. Hii simu maduka kama vile ya Samsung bei zao si chini ya 2.1m. Ila nimezunguka na kusakanyua kila sehem na kuipata kwa 1.8m.....mpyaaaa.