Nauza asali toka Tabora, lita 20 kwa shiling 190,000/=

Apr 19, 2012
21
9
Jipatie asali bora, asali nzuri kutoka tabora, asali mbichi haijapikwa,

Dumu la lita 20 kwa bei ya shilingi 190,000/=, maongezi yapo,

Asali ipo dar es salaam, wateja wa mikoani watatumiwa.

Mawasiliano:
Mr sadiki kisimikwe 0654 895469,

Chris rumanyika 0718 166060 / 0753 166060.


Nb:
Bei inapungua maongezi yapo, piga namba hizo hapo juu.

IMG_20170512_141509.jpg
IMG_20170512_141526.jpg
 
JIPATIE ASALI BORA, ASALI NZURI KUTOKA TABORA,

DUMU LA LITA 20 KWA BEI YA SHILINGI 190,000/=, MAONGEZI YAPO,

ASALI IPO DAR ES SALAAM, WATEJA WA MIKOANI WATATUMIWA.

MAWASILIANO:

MR SADIKI KISIMIKWE 0654 895469,

CHRIS RUMANYIKA 0718 166060 / 0753 166060.


NB:
BEI INAPUNGUA MAONGEZI YAPO, PIGA NAMBA HIZO HAPO JUU.
 
Hivi tabora waliacha kulima tumbaku?

Utafiti unaonyesha kuwa nyuki huchukua viambata vya maligafi ya asali hata kwenye maua ya tumbaku na kufanya asali toka kipande hiyo iwe na "nicotine"

N:B
Sio nia yangu kuvuruga biashara bali kuongeza 'awareness'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom