Wakuu,
Natafuta wapi naweza nunua miziga ya kufugia nyuki, pia naitaji na mafunzo kidogo jinsi ya kuwafuga, kwa sasa niko dar,
kama unayo tuwasiliane tafadhali
Thanks
Habari za majukumu wana JF.
TV sumsung inch 32 yenye warrantee na lisiti pamoja na Kitanda 6*6 vinauzwa.
TV sumsung tsh. 450,000
Kitanda 6*6 na godolo lake tsh. 300,000.
TV ina miezi 2 tu tangu...
Nauza nyumba ipo mbagala mwanamtoti .Nyumba Ina
-vyumba vitatu vya kulala
-Ina jiko na store
-inaumeme na maji
-Ina tiles kwa chino pia juu Ina gypsum
-pia Ina eneo lililobaki ambalo unaweza...
GA Consultancy is the leading Business Management Consulting in the region which offers high level advisory to policy makers, investors and organizations. Our Management Consulting services...
habari wadau.
nauza 32 inch led tv aina ya stax x.. bei ni 350. bado ina hali ya upya na vifaa vyake vyote
nilinunua kwa ajili ya kuiweka glossary niliyopanga kuifungua ila nimeamua kubadilisha...
Gari aina ya Hino Inauzwa iko katika hali nzuri na inafanya kazi na haidaiwi kitu chochote. Kwa anayehitaji napatikana katika namba 0744089514 /0675459211. Inauzwa Tsh 20,000,000 /=
Gari aina ya Rav4, CC 1998, Usajili T 588 CHQ lina hali nzuri kilometa 82,435 Location Kigoma. Open roof na engine haijafunguliwa. Bei 9,500,000 maongezi yanaruhusiwa. Kwa mawasiliano na maelezo...
Milage zake ni 160000
Ni automatic,inatumia petrol,
Engen model yake ni v6020
Mmiliki sahv anaiuza 21mln
Gari hii ilingia nchini mwaka jana mwezi wa nane tokea japan....gari iko imepaki tu...gari...
Kituo Kipo kigamboni Centre
Kina Mitungi Mitatu Inayofanya Kazi na Kimeshazoeleka Kwani Kinaendelea kutoa huduma kwa muda mrefu
Price:Milion 7 per month
Mkataba Rasmi ni miaka mitatu Mkataba...
Heshima kwenu wadau..
Kuna appartment zinapangishwa vituka, nyuma ya airport karibu na Kwa jimmy au Ikizu Motel..
Nyumba ni nzuri kwa bachelor maana ni Chumba master na sebule yake + jiko
Zipo...
Habar watu wa JF.
Napenda kuwatangazia kwamba natengeneza Crips za ndizi,mihogo na viazi,tambi za dengu (za pilipili na zisizo na pilipili), chaulo na karanga za mayai.
Bidhaa hizi nauza kwa bei...
Viwanja vinauzwa bei nzuri kabisa.Vinafaa kwa makazi na kuna umeme na maji karibu.Viwanja vipo
Mkoa wa kilimanjaro: Boma Ng'ombe na KIA
Mkoa wa Arusha KIKATITI,na King'ori
Mkoa wa Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.