Shushani Ngomeni
Member
- Nov 24, 2014
- 45
- 18
Heshima zenu wadau..
Nimeibiwa simu yangu wazee, sikutunza Imei zake ili niweze kupata msaada wa kutrack. je kuna anajua ujanja mwingine ambao naweza kupata hiyo simu? msaada tafadhali!! Ni tecno N2 ina few month since i bought. Pia kama kuna mtu ana used ktk gud condition aniuzie. ikiwa sumsAng itakuwa gud.