Nauza simu tecno y3

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,243
4,379
Habar wanabodi!

Niende mbali mm sio mwanasiasa wadau nauza simu ya tecno nimeitumia takriban miez 4 haina ufa wowotr ni nzima kabisaa pia ukiiona ni kama mpya.

Ina scrren procteter chaji kama huwashi data hovyo siku 2/3 ukiwasha data siku moja.

Bei ni sh 60000 nitafute kupitia namba 0652810166 piga sina sms za kujibu.

Au nitafute whatsapp 0623961833.

Asubuh njema nipo dar es salaam
 
Mkuu kula 30,000/= nimuwekee mwanangu apps za ubongo kids analia sana anahitaji ya kwake na yeye
Njoo PM tafadhali
 
Weka picha nikiridhika nayo tunakutana nakupa 60000 leo leo haina maongeza
 
Back
Top Bottom