Heshima kwenu wakuu,
Natafuta gari mbili aina ya Canter yenye uwezo wa kubeba mzigo wa tani 3 na iwe short chases.
Nipo Dar. Kwa mawasiliano ya simu 0625569109
nauza viwanja vilivyopimwa, 7000/=tsh kwa square meter
vipo kimbiji kijaka mbele ya kiwanda cha nyati cement
vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia 400 , 500, 600, 800 na 1200 sqm
mawasiliano...
Habar wanajukwaa!
Bila kupoteza mda,simu aina ya Tecno C9 iko sokon,iko katka hali nzur kabxa wala haina shida yoyote ile
Kwa ambae atahitaj bas afanye kuni-PM
Habari nzuri kwa kina mama Dar es salaam.. Napenda kuwatangazia na kuwa karibisha kwenye SPECISL EVENT inaitwa MAMA NA MWANA tutaongelea kuhusu afya ya mwanamke anaetarajia kuwa mama(mjamzito)...
Habari nzuri kwa kina mama Dar es salaam.. Napenda kuwatangazia na kuwa karibisha kwenye SPECISL EVENT inaitwa MAMA NA MWANA tutaongelea kuhusu afya ya mwanamke anaetarajia kuwa mama(mjamzito)...
Make : Nissan
Model : GT-R
Mileage : 29000km
Engine size: 3,800cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive : 4WD (FOUR WHEELS DRIVE)
M/Year...
Nauza mafuta halisi ya blackseeds..
hutumika kutibu pumu,pressure ya kupanda,kisukari,Baridi yabisi na mengineyo.. tafadhari kama unahitaji mafuta halisi original wasiliana nasi.
Habari zenu?
Nauza king'amuzi cha Star Times,kipo kwenye hali nzuri na kina rimoti yake na boksi lake.
Bei ni 40,000
Napatikana Arusha mjini.
0713260027
Hello everybody,
As per the heading above, I would like to buy some operational theatre attire (for surgeons) for my business. Offers are welcomed, DM.