SUBARU LEGACY Mil 3 TU

FLAVOR

Senior Member
Jun 13, 2012
138
49
Haya wadau, Naachia gari aina ya Subaru Legacy Station Wagon, gari hii ina spare za kutosha Arusha, Dar, Mwanza. Na inashea spare na Baja, Impreza, Wrx na Forester kuanzia za miaka ya 90 mpaka 2004, hivyo hofu ya spare ondoa isitoshe siku hizi kuna beforward pale tabata wana maspear kibao.

Iko hivi ina engine ya 2.2 Litres na inatembea lita moja kwa kilometa 18 ukiwa katikati ya mji kwenye mafoleni kama Dar na Lita moja ya mafuta Kilometa 21 ukiwa unaenda kwenu uko highway safarini.

Haijawahi pata ajali na imenyooka kiasi kwamba unanunua na kupiga mwendo hakuna sijui mara hiki kimefanyaje mara kile mara naomba namba ya simu ya fundi,,,hapana,

Njoo na Fundi wako Fasta Niko Kigamboni, Nicheki kwa simu 0719206920. Whatsapp 0627410415, ukiweka mafuta tunafanya test drive, siyo uje tukuendesheeee na mafuta yetu na gari usinunue

MADALALI MSIPIGE HIYO SIMU, SITAKI MADALALI, KAMA HUJUI MAGARI USIRUSHE COMMENT ZA AJABU AJABU

Ikiwa una maswali ama unataka kutoa maoni, namba hiyo hapo juu, usiulize hapa kwenye thread maana ntashindwa kukujibu kwa wakati

kwa wale wanaotupia maupuuzi, usifanye hivyo,usipoteze muda wako bana,

******DUH TUTAUZA HADI MASHATI MWAKA HUU*****
 

Attachments

  • 20150913_094703.jpg
    20150913_094703.jpg
    141.2 KB · Views: 154
  • 20150913_094738.jpg
    20150913_094738.jpg
    111.4 KB · Views: 146
  • 20150913_094334.jpg
    20150913_094334.jpg
    169 KB · Views: 146
Dah mkuu jazia nyama kidogo cc ngapi engine aina gani mileage namba ni a b c au d etc
 
Mkuu naona umeamua kuuza gari ya urithi mi nnavyojua urithi hauuzwi
 
Teh teh! kuna gari hata unipe lift jangwani sipandi!!
 
Bonge ya gari hii, gari ya kazi misele mingi na imara... Kwa milioni 3 ni fursa mwenye hela achukue....
 
Back
Top Bottom