Habari, Shimso Foods inawaletea huduma ya vitafunwa aina zote kwa wakazi wa dar na vitongoji vyake
[emoji364]Vitumbua 300
[emoji364]Chapati 500
[emoji364]Kachori 300
[emoji364]Maandazi 300...
Natafuta mfanyabiashara tushirikiane kwenye bar na restaurant yangu pale daraja la Kigamboni. Imekamilika kwa kiasi cha 85%. Ipo kwenye barabara kuu kama hatua 100 baada ya sehemu ya kulipia...
New
Habari wana forum nina chumba kingine lengo nahamisha wapangaji wenye familia na kuleta wanafunzi. Cha mwanzo nilicholeta tangazo nashukuru nilipata mwanafunzi
hii ni fursa yako nzuri...
Ramadhan offer
Brand new items for home use
Best quality
0715677739 Dar
*Mixer 315,000/ only
Bish rice cooker
2.8 Litres
60,000/
Microwave with grill
Russell Hobbs
150,000/
20 litres volume...
Hii offer ni kwa watumish wa umma(watumish wa serikali) ,halmashauri...n.k
Hii ni company mpya APA dar HQ zipo posta mpya
Uzur wa hii kitu unaweza kukopeshwa hata ukiwa na madeni..Kwenye taasisi...
Wakuu heshima kwenu. Nahitaji kujua bei za matanki ya maji kwa Dar au Moro kwa size tofauti tofauti na makampuni tofauti ili nijibalance kwa mpunga wangu kidogo nichukue size gani na kampuni gani...
Niko la umeme used toka denmark..juu Ina kioo(ceramic)
Iko na oven pamoja....
Bei ya kuuza ni 370,000/
Haya makini ni imaraaa sana
Kwa mawasiliano piga simu 0715591141 dar
OvA
JITA VTC, inakaribisha watanzania wote wenye nia ya kujipatia ujuzi ili waweze kujiajiri na kuajiriwa.
kozi zitolewazo:
> Ususi na urembo (mambo yote ya salon za kike) WIKI 12
> Ufundi simu...
Ni kweli uhamisho wa watumishi wa umma umefutwa hapa nchini tz?
tangu rais aingie madarakan nimeona stahiki ya kuhama inapuuzwa ilihali watu wanamatatizo ya kiafya nk.
Natafuta pilipili mtama (black pepper).
Quantity = 500 KGS, hii Ñî biashara endelevu. Nitahitaji tena 5,000 KGS baada ya siku 30.
Tuwasiliane 0655308308.
Sub woofer ni mpya na zimetoka china nauza bei ya jumla na reja reja
Ukichukua kuanzia tano nakuzia bei
Ya reja reja,sub woofer zipo models mbali mbali na zenye uwezo tofauti zote zina fm radio...
Wakuu nafikiri kufanya biashara ya kununua nguo hasa za kiume jeans,shirt na kupeleka mkoani.Nimetembelea kariakoo wauzaji wengi wanapenda faida kubwa naomba kujua kwenye uzoefu wapi naweza pata...
Kwema wakuu!?always jf has been my second home..Leo tumeamka asubuhi na surprise ya Dada, ameamka anaaga unataka kutimka kurudi kwao na anasema mwisho j5,wakuu Mimi nna mtoto mchanga nimepambana...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.