Ndugu wana JF
Nauza PPGI coils( materials ya kutengeneza mabati) tani 50
SPECIFICATIONS
Coils zote zipo bandarini hazijalipiwa ushuru. Nauza milioni 70 bila ushuru na 120 milioni zikilipiwa ushuru. pia kama utakua interested kununua naweza kutengenezea mabati ya migongo mipana au ya kawaida bure, hizo tani 50 zinatoa mabati 9000 ya meter tatu.
Bei ya bati moja kwa jumla ni sh 21000. wewe unaweza kuuza 18000(6000 kwa meter). ukiuza mabati yote unapata 18000x9000=162,000,000. Faida yako inakua 162,000,000-120,000,000=42,000,000. wateja wapo wengi na mzigo wote unauzika ndani ya mwezi mmoja.
Nauza mzigo sababu nimekosa pesa ya kutoa containers bandarini. Kwa maelezo zaidi nipigie 0685085378. Kiwanda changu kinaitwa Tanzanite Roof industries Ltd kipo mwanza opposite na nyakato police station. Kwa uhakiki zaidi unaweza kufika kiwandani.
Nina documents zote za mzigo ie Bill of lading, Invoice, Packing list etc
NB: -Fanya research ya wateja wa bati wanaonunua kwa jumla ndo tuongee biashara. Wateja mimi nawafahamu
-Unaweza kutoa mzigo bandarini kwa kulipia ushuru (50m tax plus port and agent fee) then mimi ukanilipa baada ya kuuza mabati
COILS NDIO ZIKO HIVI
NAKUTENGENEZEA MABATI KAMA HAYA

- 0.25mm thickness (30gauge)
- 1000mm width
- 80g/m[SUP]2 [/SUP]coating
- aluzinc coils
- brickred and skyblue Colour Coated Coils
- The quality is better than ALAF sheets ( Guarantee 20 years without fading)