Gari nzuri aina ya Mitsubishi Canter ambayo inafaa kwa shughuli za kubebea mizigo isiyozidi tani 2 inauzwa.
Baadhi ya watu hutumia gari kubebea mizigo hasa maeneo ya kariakoo.
Gari hii...
Ni umbali wa 45km kutoka ferry
umeme upo tayari
ni 800 mita kutoka bahari ilipo.
kiwanja kina ukubwa wa 1100sqm
bei yangu ni 9 million cash
Call 0627911500
Jipatie mashine ya kichujia maji ambayo haitumii umeme ni rahis kutumia na ni salama kwa asilimia 100 kwa maana ina kipenyo cha micrometer cha 0.2 ambacho hakiruhusu bacteria wala uchafu wa...
kiwanja
~Kiwanja kinauzwa Maeneo ya Kimara Mwisho(Matosa) kina Mita 15(upana) Mita 30 (Urefu) Bei ni Shs Million 8 Umeme,Maji na mahitaji mengine yapo....
Maongezi ya Bei yapo
Mawasiliano 0713...
Karibu uandaliwe tender document na ushauri mwanzo mpaka mwisho.
Update.
Hii inahusu wale wenye makampuni either unataka kuintroduce company yako au tayari umeshaanza kuoperate
based in IT...
Wadau,
Nahitaji hivyo vitu hapo juu,
Nimejaribu kufatilia kwenye office zao hasa M. pesa na mashne ya betting wote wanataka leseni ya biashara mimi bado sijakata. Max malipo au selcom sijajua...
Habari za Leo wadau,
Natafuta Gari tubadilishane na Mbao za paini za kipimo atachohitaji, yeyote aliye na Gari ataeridhia hili, niko Mufindi mkoani Iringa. Nahitaji Gari kati ya
Noah, Carina...
Official Budget Resort Lounge
Launch.
Kama wewe ni Mstaarabu basi hii inakuhusu
ijumaa ya Leo kuanzia saa moja jioni kutakuwa na live Jaz Muzic by golden lady Getrude band in the new budget...
Chuo kikuu cha Iringa Tawi la Amani Njombe kinatangaza Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kozi zinazo tolewa ni 1.Maendeleo ya jamii 2.usimamizi wa biashara 3.Ushauri nasihii 4.Tehama...
Rejea kichwa cha Habari, nipo Mwanza nahtaji kununua king'amuzi chochote kilichotumika hasa Startimes, mwenye nacho anichek pm au weka namba ntakupigia
Asante
Chuo kikuu cha Iringa Tawi la Amani Njombe kinatangaza Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kozi zinazo tolewa ni 1.Maendeleo ya jamii 2.usimamizi wa biashara 3.Ushauri nasihii 4.Tehama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.