naitaji pikipiki ya bei nafuu 600,000

jnia

Senior Member
Oct 10, 2012
112
37
nadhani nimeeleweka, mteja yupo dar pikipiki ya bei karibu na hapo tutafutane.
 
Ninayo work machine ndogo, CG. Ila inatoka sana chain hasa ukiwakaribia traffic police.
Bei 650,000/-
CG isipo ijulia itakutesa sana ( kibao cha mbuzi ) haswa kwenye ku adjast chain: badilisha bush za kwenye mkasi weka za kuchonga uta sahau
 
CG isipo ijulia itakutesa sana ( kibao cha mbuzi ) haswa kwenye ku adjast chain: badilisha bush za kwenye mkasi weka za kuchonga uta sahau
Nikikimbia sana huwa inatoka chain, ila Napenda kutembea mwendo wa taratibu. Siisahau siku ilonitokea chain mbele ya traffic nikiwa na makosa kibao.
 
ca1d60a22757365d86d6ecc331deb153.jpg
473f385422c2a1bfca5a48527b2521d6.jpg
109c6c88c10c0a3e03cde785e13141b1.jpg
Kazi kwako 650000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom