Parasite
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 613
- 557
Yaani nashindwa kuelewa ndugu zangu nisaidieniJamani wadau habari za kazi? Poleni na majukumu samahani naomba kuuliza ama kujuzwa kuhusu hiki chuo cha eckenford tanga university inst of health science,je kinatambuliwa na nacte? Yaani namaanisha je kimesajiliwa?
Angalia vingine visivyo na mkanganyikoBut angalia kwa juu yake sasa, ndio maana bongo hatuendelei.