Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kinauzwa. Ukubwa sq metre 1516 Kina hati ya wizarani Kipo Kisukuru Bonyokwa Bei 19m pia mazungumuzo yapo
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Husika na kichwa cha habar apo juu, natafuta banda la kukodi kwa ajili ya ufugaji kuku Wa biashara. Banda lisiwe kubwa Wa Dogo sana liwe saizi ya kati. Banda liwe mjini au nje ya mji yote sawa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WAFUGAJI NINAO HAO KUKU NA WAMEPATA CHANJO ZOTE MUHIMU NAPATIKANA MBEZI DSM BEI 15000 LETA ODA YAKO SASA 0769841836
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Ndugu Members Natarajia kuhama Jiji la Makonda kurudi Mkoani kuwekeza kwenye Kilimo. Hivyo nimeamua kuuza Nyumba yangu ambayo bado sijaimalizia kuiezeka kwa bei nafuu sana. Nyumba ipo Dar es...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wakuuu Najitaji nyumba ya kupanga mjini dodoma vyenye vyumba viwili .kama inawezekana viwe full furniture..asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anae uza Mashine ya kutengenezea popcorn Iwe ya kutumia umeme Plz anijuze nahitaji
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Habarin wadau, kwa yeyote anayeuza samsung galaxy note 4. Iliyokwenye condition nzuri..anicheki. asante.
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Simu ipo kwenye khali nzuri pia kwenye matumizi ipo verry fasta ila ni used sana ina muda but ina condition nzuri. Bei sawa na bure kabisa kioo chake kipo vizuri betri nilinunua jipya, haina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Nyumba inapangishwa Sakina,jirani na Trust St.Patrick Schools. Nyumba kubwa INA vyumba vitatu,kimoja master bedroom,jiko,sebule,stoo,imeunganishwa na Solar power kama dharura...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wadau nyumba inapangishwa mbezi beach karibu na shule ya green acers ni vyumba viwili vya kulala master moja, jiko, dinning,Na sebule inajitegemea kwenye fensi ipo peke yake maji na umeme...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza sony PlayStation 4 console mpya kwa bei nzuri sana. System ilifunguliwa ikatestiwa ikarudishwa kwenye Box ====Ina kuja na accessories zote==== -one controller -sony PlayStation earphone...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
rejea kichwa cha habari chahusika. naandika kuomba niuziwe betri ya simu ya halotell H8401 nimezitafuta sana madukani kwao Arusha Dar na Mwanza hawana kwa aliye nayo naomba aniuzie na pia ni...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Wana Jf habari. Tunauza na kukopesha zana mbalimbali za kilimo kwa bei nafuu sana na tunatoa msaada wa kiufundi na kitaalamu kwa wateja wetu. Baadhi ya zana tunazouza na kukopesha ni tractors ...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimu! Katika kipindi kigumu ndiko ambako tunapata mawazo mapya ili kutimiza ndoto zetu Kampuni ya "Alliance in Motion Global" ambayo ilianzia nchini Philippine miaka 11 iliyopita...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu... Hajitaji ka suzuki carry au aina yoyote inayofanana nayo kwa gharama ya mil 5. Iwe na body lenye fridge, na inayotembea. Kama inamatatizo madogo madogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uko opposite na ustawi wa jamii dar es salaam. Kodi ni laki 500,000. Hiyo hiyo laki 5. Viti 35 na meza atavikuta, majiko, ya mkaa na gesi, la kuchomea nyama, mishkaki, vyombo, freezer, miamnvuli...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Hii offer ni kwa watumish wa umma(watumish wa serikali) Hii ni company mpya APA dar HQ zipo posta mpya Uzur wa hii kitu unaweza kukopeshwa hata ukiwa na madeni..Kwenye taasisi za FEDHA. Makato...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Salam ndugu zangu. Je unahitaji chochote kutoka Uturuki? Basi usisite kuwasiliana nami ninaweza kukusaidia. Kwa sasa nipo Uturuki nitarudi nchini baada ya two weeks. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom