Shule ya Sekondari Arusha modern inatangaza nafasi za masomo

ndawo

Member
Feb 3, 2014
70
32
TANGAZO
Shule ya sejondari SEKONDARI ARUSHA MODERN chini ya uongozi thabiti katika kutoa elimu bora na nidhamu kwa wanafunzi inawatangazia nafasi za masomo kwa KIDATO CHA TANO 2017.

Michepuo inayotoewa ni PCM, PCB, PGM, CBG, EGM, HGE NA ECA. MASOMO YATAANZA TAREHE 5 JUNE 2017

Pia shule ina nafasi chache za kuhamia kwa kidato cha sita.

Shule ni ya bweni kwa kidato cha tano na sita kwa wavulana na wasichana. Shule ina maabara na maktaba ya kisasa na mazingira bora ya kufundisha na kujifunzia, WALIMU WA KUTOSHA NA WALIOBOBEA KATIKA FANI YA UFUNDISHAJI.
Shule inajali taaluma, nidhamu na michezo.

SHULE IMEKUWA YA PILI KIMKOA NA YA ISHIRINI NA SITA KITAIFA KIDATO CHA SITA MWAKA 2015 PIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2016 SHULE IMEKUWA YA PILI KIMKOA.

KUJIONEA MATOKEO INGIA KWENYE TOVUTI YA BARAZA NA TAFUTA NAMBA S1178.

WAHI SASA KWANI NAFASI NI CHACHE

KWA FOMU NA MAELEKEZO, WASILIANA NAO KWA NAMBA ZIFUATAZO
0782 905 905
0754 604 123
0767 111 913
 
Back
Top Bottom