DAWA YA KUTIBU MAUMIVU YA MIGUU

mlagilamakawao

Senior Member
Feb 22, 2017
189
120
Ndug wana jf naomba kujuzwa kuhusu dawa zuri ambayo inaweza kusaidia kutuliza maumivu ya miguu .. Bimukubwa wangu anasumbuliwa na maumivu ya miguu nimejarkbu kutumja dawa za hosptali pasipo mafanikio lakini naskia kuna watu wataalamu was dawa za pori / mitishamba na zinawasaidia wengj tu hvyo naomba kupata msaada o niweze kupata
 
Back
Top Bottom