Massage parlour Kimara/Ubungo

Massage parlour Kimara/Ubungo

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,801
Wakuu naomba anaejua eneo wanalotoa huduma hiyo kwa maeneo tajwa anisaidie kunielekeza na pia kama unajua bei yake itanisaidia zaidi.
Asanteni
 
unataka KUCHULIWA tu hutaki mengine! bei itakuwa sio kubwa sana, ila ubebe na ka hela ka akiba yawezekana ukifika huko ukahamasika kuhitaji na huduma nyingine ya ziada kulingana na mazingira yatakavyokuwa yanabadilika badilika


!
!
Hii huduma ni mobile au ni sratic, kwa maana ya je kuna uwezekano nikamtoa ofisini akanipe huduma sehemu tofauti inakuwaje?
 
Back
Top Bottom