Nauza Mbao za mti huu.

Nauza Mbao za mti huu.

makondekoujiji

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Posts
384
Reaction score
500
Habari,
Nina mbao 12(4 by 2) za mti wa mtiki ambazo nilipewa na bosi wangu ambae huwa ana export mbao hizi.

Zina urefu wa futi 8 .

Bei ubao mmoja 25000.

Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom